Category : VIKOBA | Sub Category : VIKOBA-FAIDA Posted on 2026-01-11 13:22:26
Mfumo wa VIKOBA ni programu ya kisasa ya kidijitali inayopatikana kupitia simu za mkononi (Mobile App) na kompyuta (Desktop/Web Application), iliyoundwa kurahisisha usimamizi wa vikundi vya VIKOBA kwa njia salama, ya haraka na yenye uwazi.
Mfumo huu unawawezesha viongozi na wanachama wa VIKOBA kusimamia kwa ufanisi shughuli zote za kifedha na kiutawala bila kutumia makaratasi.
Download hapa
kwenye computer
DOWNLOAD VIKOBA FAIDA KWENYE COMPUTER YA WINDOWS
Nakwenye simu hapa chini
DOWNLOAD VIKOBA FAIDA APP KWENYE SIMU YA ANDROID
Usajili wa vikundi na wanachama
Usimamizi wa akiba, hisa na michango
Usimamizi wa mikopo (maombi, idhini, marejesho na riba)
Ufuatiliaji wa mapato na matumizi
Ripoti za kifedha kwa wakati halisi (real-time reports)
Viwango tofauti vya watumiaji (Mwenyekiti, Katibu, Mweka Hazina, Mwanachama)
Usalama wa taarifa na hifadhi ya data (data backup)
Mfumo unapatikana Mobile App (Android/iOS) na Desktop/Web
Huongeza uwazi na uwajibikaji
Hupunguza makosa ya kihesabu
Huokoa muda na gharama
Huongeza nidhamu ya kifedha
Huwezesha ufuatiliaji wa maendeleo ya kikundi kwa urahisi
Vikundi vya VIKOBA
Vikundi vya wanawake na vijana
Vikundi vya kijamii na kiuchumi
Taasisi zinazosaidia VIKOBA
Mfumo huu ni suluhisho kamili la kidijitali kwa maendeleo ya vikundi vya VIKOBA na kukuza uchumi wa wanachama wake.